Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu
kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya Tehama leo
Jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa
Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA), Gilliard Ngewe na Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (TASAC), Emmanuel Stephen Ndomba.
Majaribio hayo yanaanza leo tarehe 26 Juni 2019 katika njia
itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
Afisa Habari wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi
na Mawasiliano (Sekta kuu ya Uchukuzi), Christopher Phillemon akitoa
maelezo mafupi kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa
mkutano wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack
Kamwelwe (kulia) kuhusu kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi
kwa njia ya Tehama leo Jijini Dodoma.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), Gilliard Ngewe.
Majaribio hayo yanaanza leo tarehe 26 Juni 2019 katika njia
itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
Baadhi ya Waandoshi wa Habari wakifutilia
maelezo ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack
Kamwelwe kuhusu kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia
ya Tehama leo Jijini Dodoma. Majaribio hayo yanaanza leo tarehe 26 Juni
2019 katika njia itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi Isack Kamwelwe akisikiliza kwa makini swali kutoka kwa
Waandishi wa Habari wakati wa mkutano wake na waandishi hao (hawapo
pichani) kuhusu kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia
ya Tehama leo Jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), Gilliard Ngewe na Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (TASAC), Emmanuel Stephen
Ndomba. Majaribio hayo yanaanza leo tarehe 26 Juni 2019 katika njia
itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
Afisa Habari wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi
na Mawasiliano (Sekta kuu ya Uchukuzi), Christopher Phillemon akiwa na
baadhi ya Waandishi wa Habari wakifutilia maelezo ya Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe (hayupo pichani) kuhusu
kuanza kwa majaribio ya Mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya Tehama leo
Jijini Dodoma. Majaribio hayo yanaanza leo tarehe 26 Juni 2019 katika
njia itakayoanishwa kabla ya kuanza kutumika nchi nzima.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi Isack Kamwelwe akiagana na Waandishi wa Habari baada ya
kumaliza mkutano wake na waandishi hao kuhusu kuanza kwa majaribio ya
Mfumo wa kukata tiketi kwa njia ya Tehama leo Jijini Dodoma. Majaribio
hayo yanaanza leo tarehe 26 Juni 2019 katika njia itakayoanishwa kabla
ya kuanza kutumika nchi nzima. (Na: Mpiga Picha Wetu)
0 comments:
Post a Comment