Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa
kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akipewa maelezo na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe kuhusu maendeleo
ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR na njia itamopita wakati mgeni huyo
alipotembelea sehemu ya mradi huo eneo la Vingunguti ‘Mahakama ya Mbuzi’
jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa
kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akisalimia wananchi
wakati mgeni huyo alipotembelea sehemu ya mradi wa Reli ya Kisasa eneo
la Vingunguti ‘Mahakama ya Mbuzi’ jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa kongo (DRC)
Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akiwa na Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe akikagua maendeleo ya ujenzi wa Reli
ya Kisasa ya SGR na njia itamopita wakati mgeni huyo alipotembelea
sehemu ya mradi huo eneo la Vingunguti ‘Mahakama ya Mbuzi’ jijini Dar es
salaam leo Juni 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa
kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akitambulishwa na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe kwa viongozi wa
kampuni ya upakuaji Makontena ya Tanzania International Containers
Terminal Services (TICTS) alipotembelea Bandari ya Dar es salaam jijini
Dar es salaam leo Juni 14, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa
kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akitambulishwa na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe kwa Mkurugenzi
Mkuu Shirika la Reli Tanzania Ndugu Masanja Kungu Kadogosa alipofika
kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR na njia itamopita
wakati mgeni huyo alipotembelea sehemu ya mradi huo eneo la Vingunguti
‘Mahakama ya Mbuzi’ jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019
0 comments:
Post a Comment