:
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi,
Elias Kwandikwa akielekea Wodini kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi wa
ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma. Kushoto
ni Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt.
Abdul Pumzi. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha
majeruhi 32.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias
Kwandikwa akiwajulia hali baadhi ya majeruhi wa ajali ya treni
iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma wanaoendelea kupata
matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo. Ajali hiyo
imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi 32.Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias
Kwandikwa akisikiliza maelezo toka kwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Abdul Pumzi (katikati)
alipotembelea Hospiltali hiyo kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi wa
ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma
wanaoendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma
leo. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi
34.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias
Kwandikwa akiwajulia hali baadhi ya majeruhi wa ajali ya treni
iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini Dodoma wanaoendelea kupata
matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo. Ajali hiyo
imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha majeruhi 32.Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta Kuu ya Ujenzi, Elias
Kwandikwa akiagana na Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya
Mkoa wa Dodoma, Dkt. Abdul Pumzimara baada ya kuwajulia hali baadhi ya
majeruhi wa ajali ya treni iliyotokea jana maeneo ya Hazina jijini
Dodoma. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Miundombinu ya Uchukuzi, Mhandisi.
Thomas NgulikaAjali hiyo imehusisha gari aina ya Lori na kusababisha
majeruhi 32.(Picha na: Frank Shija – MAELEZO)
0 comments:
Post a Comment