Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Zainabu Chaula akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa
Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya
uzinduzi wa Baraza hilo mapema hivi karibuni jijini Dodoma. Kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Dkt. Alphonce
Chandika.Mkurugenzi
Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Dkt. Alphonce Chandika
akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Hospitali hiyo wakati
wa hafla ya uzinduzi wa Baraza hilo mapema hivi karibuni jijini Dodoma.
Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto, Dkt. Zainabu Chaula.
Baadhi
ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa
wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Zainabu Chaula (hayupo pichani)
wakati wa hafla ya uzinduzi wa Baraza hilo mapema hivi karibuni jijini
Dodoma.Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Zainabu Chaula akikata utepe kuashiria rasmi uzinduzi rasmi wa Baraza la
Wafanyakazi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa mapema hivi karibuni jijini
Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa
(BMH), Dkt. Alphonce Chandika.Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Zainabu Chaula akimkabidhi Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Hospitali
ya Benjamin Mkapa, Bw. Maudhi Mayunga Mkataba wa Utendaji Kazi alipokuwa
mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Baraza hilo mapema hivi
karibuni jijini Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya
Benjamin Mkapa (BMH), Dkt. Alphonce Chandika.Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Zainabu Chaula akimkabidhi Mwakilishi wa wajumbe wa Baraza la
Wafanyakazi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Bi. Asha Mkataba wa Utendaji
Kazi katika hafla ya uzinduzi wa Baraza hilo mapema hivi karibuni
jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin
Mkapa (BMH), Dkt. Alphonce Chandika.Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Zainabu Chaula akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa
Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya
uzinduzi wa Baraza hilo mapema hivi karibuni jijini Dodoma. Kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Dkt. Alphonce
Chandika.Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Zainabu Chaula akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la
Wafanyakazi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa mara baada ya kuzindua Baraza
hilo mapema hivi karibuni jijini Dodoma. (Picha na: Frank Shija –
MAELEZO)
0 comments:
Post a Comment