METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, November 30, 2018

Msukuma haishiwi- Kamtandika swali Naibu Waziri Biteko mbele ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, jana akiwa njiani kuelekea uwanja wa ndege wa Chato baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi mkoani Geita, alisimama katika eneo la Katoro kusalimiana na wananchi.


Miongoni mwa viongozi waliopewa nafasi kusalimia ni pamoja na mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku “Msukuma” ambaye alitumia fursa hiyo kumuuliza swali Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko. Tazama Video hapa chini
Na George Binagi-GB Pazzo
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com