METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, June 25, 2018

KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AONGOZA KIKAO CHA CCM NA UJUMBE WA CPC LEO JIJINI DODOMA

 Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akisalimiana na Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afrika Wang Heming alipowasili kwa ajili ya kikao cha maandalizi ya Uwekaji wa jiwe la msingi chuo cha chama Kibaha pamoja na Mkutano wa CPC na Africa , leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
 Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally  akimpeleka mgeni wake eneo la kufanyia mazungumzo
 Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiongoza kikao cha Wajumbe wa chama cha kikomonisti Cha china (CPC) kwa ajili ya  maandalizi ya Uwekaji wa jiwe la msingi chuo cha chama Kibaha pamoja na Mkutano wa CPC na Africa leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma. 
 kikao kikiendelea
  Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akipeana Mkono na Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afrika katika chama cha Kikomonisti China Wang Heming mara baada ya kikao cha  maandalizi ya Uwekaji wa jiwe la msingi chuo cha chama Kibaha pamoja na Mkutano wa CPC na Africa leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi akizungumza,leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
   Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally (kulia) akizungumza na Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afrika katika chama cha Kikomonisti China Wang Heming pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
 Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally (kulia) akikabidhiwa zawadi ya Picha ya Utamaduni toka kwa Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afrika katika chama cha Kikomonisti China Wang Heming leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.(Picha na Fahadi Siraji wa UVCCM)
 Picha Mbali mbali za pamoja kati ya Viongozi wa CCM pamoja na Ujumbe wa chama cha Kikomonisti nchini china leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
  Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiagana na Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afrika Wang Heming wa chama cha CPC leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afrika Wang Heming  leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Mwl Raymond Mwangwala akiagana na Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afrika Wang Heming  leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.(Picha  Zote na Fahadi Siraji wa UVCCM)
Share:

1 comment:

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com