Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline S.L Mabula anawatakia heri wanafunzi wote wa kidato cha Sita wanaoanza leo Jumatatu Mei 7, 2018 mitihani ya kuhitimu elimu ya sekondari.
Aidha amewaasa kuwa makini, kuzingatia sheria na taratibu zote za mitihani kwa kutokuwa wadanganyifu kwani taifa linawategemea.
' Ilemela ni yetu, tushirikiane kuijenga '
imetolewa na
Ofisi ya mbunge
Jimbo la Ilemela
07.05.2018
0 comments:
Post a Comment