Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Gasper Byakanwa akiwasisitizia wajumbe wa mkutano
wa Kikao cha Utekelezaji randama ya ushirikiano wa usimamizi wa rasilimali za
misitu Kanda ya Kusini – Mtwara kuazimia kubadiri taratibu za kufanya biashara
ya mkaa kwa kuwataka wafaanyabiashara hiyo kulazimika kupanda shamba la miti
kabla ya kuruhusiwa kuvuna misitu kwa ajili ya kuchoma mkaa. Kikao hicho
kilifanyika leo tarehe 04/12/2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu Mtwara ambapo Byakanwa
alikuwa mgeni rasmi.
Wednesday, December 6, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ccm Mkoa wa Iringa,Dkt.Abel Nyamahanga akipokea bendera ya chama cha ACT wazalendo kutoka kwa Ambi Daud...
-
Na Mwamvua Mwinyi,Vigwaza DIWANI wa kata ya Vigwaza ,wilayani Bagamoyo mkoani Pwani,Muhsin Baruhan ametoa msaada wa madawa ya...
-
Mfalme wa Morocco, Mohamed VI Wizara ya Mambo ya Nje ya Morocoo inamtuhumu Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrik...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment