Maafisa Usajili wa Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wakiwachukua alama za Kibaiolojia wananchi
wa mkoa wa Simiyu Kijiji cha Mwakiboro wakati zoezi la Usajili
likiendelea
Wananchi wa Kijiji cha Mwakiboro mkoani Simiyu wakisubiri kupatiwa huduma ya Uandikishwaji Vitambulisho vya Taifa.
Zoezi la Usajili likiendelea katika Kijiji cha Kilulu wilayani Bariadi
Wananchi wa Kijiji cha Mwakiboro mkoani Simiyu wakisubiri kupatiwa huduma ya Uandikishwaji Vitambulisho vya Taifa.
……………………………………………………………………
Mkoa wa Simiyu ni miongoni mwa
mikao 12 ya Tanzania inayoendelea na zeozi la kuwasajili wananchi kwa
lengo la kuwapatia Vitambulisho vya Taifa.
Kwa sasa zoezi hilo limeingia
kwenye awamu ya pili ya Usajili katika wilaya zote za mkoa huo ambazo ni
Bariadi, Meatu, Busega, Maswa na Itilima huku mwitikio wa watu ukiwa
mkubwa.
wanaoshiriki kwenye zoezi hilo ni wananchi wote wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, wageni na Wakimbizi.
0 comments:
Post a Comment