Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye
Ulemavu, Stella Ikupa, akimkabidhi Cheti cha Shukrani Meneja wa Kitengo
cha Kujenga uwezo wa Asasi, kutoka Taasisi ya The Foundation for Civil
Society, Edna Chilimo, kutoka kwa Shirikisho la Vyama vya wenye ulimavu
Tanzania, SHIVYAWATA, wakati wa Tamasha la Sita la Watu wenye Ulemavu,
lililofanyika kwenye ukumbi wa LAFP, Makumbusho jijini Dar es Salaam,
Nov 2, 2017. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Naibu
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na Watu wenye
Ulemavu, Stella Ikupa, akizungumza wakati wa Tamasha hilo. Kushoto ni
Mwenyekiti wa SHIVYAWATA Taifa, Ummy Nderiango.
Meneja
wa Kitengo cha Kujenga uwezo wa Asasi, kutoka Taasisi ya The Foundation
for Civil Society, Edna Chilimo, akizungumza wakati wa Tamasha hilo.
Meneja
wa Kitengo cha Kujenga uwezo wa Asasi, kutoka Taasisi ya The Foundation
for Civil Society, Edna Chilimo, akionyesha Cheti alichokabidhiwa
katika Tamasha hilo.
Mgeni
rasmi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na
Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa, akiwa katika picha ya pamoja na
washiriki wa Tamasha hilo.
Mgeni
rasmi, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi Ajira na
Watu wenye Ulemavu, Stella Ikupa, akiwa katika picha ya pamoja na
washiriki wa Tamasha hilo.
Wakipasha misuli baada ya mazungumzo ya muda mrefu
Salamu…….
Paleeee, umeona eeeh….
0 comments:
Post a Comment