Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa
akikagua ujenzi wa Makao Makuu ya ofisi hiyo unaoendelea mkoani
Dodoma. Ujenzi wa ofisi hiyo unatarajia kukamilika mwezi Februari,
2018.
Muonekano wa mbele wa jengo jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) linaloendelea kujengwa mkoani Dodoma.
Muonekano wa jengo jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) linaloendelea kujengwa mkoani Dodoma.
Muonekano wa jengo jipya la Makao Makuu
ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) linaloendelea kujengwa mkoani Dodoma.
Picha na Veronica Kazimoto.
0 comments:
Post a Comment