WANAMUZIKI wanaounda kundi linalotikisa Bongo kwa sasa la Rostam, Roma
Mkatoliki na Stamina, wamefunguka kuwa, endapo mmoja kati yao akibaini
mwenzake amechepuka, basi ndiyo itakuwa mwisho wa uhai wa kundi hilo.
Wawili hao kwa sasa wanatamba na wimbo wao wa Huku Ama Kule ambao
unafanya vizuri kwenye vituo vya redio na runinga.
Roma amesema: “Yaani sisi kila mtu hapa alipo anamlinda mwenzake
kuhakikisha hapigi, hachepuki licha ya kwamba kuna vishawishi vingi
ambavyo tunakutana navyo wakati tukisaka ugali wetu wa kila siku.
“Kama ikitokea siku m i m i nimemfuma Stamina au yeye akanifumania nipo
na mwanamke mwingine tofauti na mke wangu tukifanya mambo ya kimapenzi,
basi hapo ndiyo utakuwa mwisho wa kundi hili.”
Saturday, October 7, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
HOTUBA YA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA ISIMANI KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI MWAKA 2015 UTANGULIZI UTA...
-
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema tarehe 26 Desemba, 2020 dun...
-
Na Beatrice Lyimo-MAELEZO Serikali imeazimia kuachana na biashara ya kuingiza nguo za mitumba kutoka nje ya nchi ifikapo mwaka 2018....
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment