Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva nchini AY
amefunguka na kusema kuwa bifu kati ya msanii Mwana FA na Lady Jaydee
yeye ilikuwa inamsumbua sana na kusema aliamini ipo siku wanaweza
kumaliza tofauti zao.
AY amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL)
na kusema kuwa kwa kuwa yeye alikuwa ni rafiki wa wasanii hao wote hivyo
ilikuwa inampa ugumu kuona watu hao wanashindwa kupiga hata stori.
Bongo Movies
0 comments:
Post a Comment