METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, September 29, 2017

M/KITI UVCCM SHINYANGA MJINI AWA MGENI RASMI MAHAFALI YA TOWN SCHOOL

Leo mapema m/kiti wa vijana wa ccm wilaya ya Shinyanga  Mjini ndugu Doto Joshua akiambatana na katibu wa vijana wilaya ya Shinyanga Mjini Hussein EGOBANO, Wameudhulia mahafari ya vijana wahitimu wa Darasa la saba katika ukumbi wa chuo cha ualimu Shy com, pamoja na mambo mengine kwa nafasi yake kama Mgeni Rasimi ndugu Doto Joshua amewahasa vijana hawo kuzingatia malezi mema waliyofundishwa na waalimu pamoja na wazazi wao kwa kipindi chote cha miaka saba, uku akiwatahadharisha vijana hawo kuacha kujiunga na makundi yasiyokuwa na faida kwao, kwa kipindi chote wawapo nyumbani wakisubilia matokeo yao

Pia M/kiti huyo alichangia ndoo Tano za Rangi ili kupaka na katibu wake alichangia Ndoo mbili za Rangi kabla ya kuanza zoezi la kuwagawia vyeti wahitimu hawo.

Imetolewa na
K/UVCCM Shy
Mjini
Hussein Egobano

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com