Ni kauli mbiu ya Wilaya ya Ubungo katika kuhakikisha Wananchi wake wanafanya mazoezi kufuatia agizo la Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu wananchi wafanye mazoezi kuepuka magonjwa yasiyoambukizwa.
Leo Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo Ndg James Mkumbo ameongoza Mazoezi ya viungo katika viwanja TP Kata ya Sinza mazoezi ambayo ni endelevu kwa Halmashauri hiyo.
Afya yangu Uhai wangu
0 comments:
Post a Comment