METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, September 15, 2017

MAENDELEO YA UWANJA WA NAMFUA MKOANI SINGIDA

Jitihada mbalimbali zinaendelea kuboresha uwanja wa Namfua uliopo Manispaa ya Singida ili uwanja huo uwezo kutumika katika mashindano mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutumiwa na Timu pendwa Mkoani Singida ya Singida Utd ambayo inashiriki ligi kuu Tanzania Bara.

Juhudu Hizo ni pamoja na uwekaji Nyasi mpya zilizooteshwa ambazo zinatia matumaini kwani zinaendelea vyema kukua na kuvutia katika uwanja huo.

Timu ya Singida United ya Mkoani Singida katika Michezo yake mbalimbali ya ligi kuu Tanzania Bara itatumia uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma Kama uwanja wa Nyumbani wakati jitihada na maboresho ya uwanja huo zikiendelea kushika kasi.

@yaratanzania @pumaenergycorporate @vodacom @uhaidrinking water @azamtvtz

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com