METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, June 18, 2017

SIO KILA MWANAUME NI BABA

"Kila Mwanaume anaweza kuwa na Mtoto lakini Sio kila Mwanaume anaweza kuwa Baba"

Kuwa baba ni Zaidi ya kuzalisha Mwanamke, Kuwa Baba Ni kuyakabili majukumu ya malezi kwa mtoto na familia kwa ujumla, Kuwa Baba ni Kumfanya mama wa Mtoto kujivunia uwepo wako.

Kuwa Baba ni pamoja na kuimarisha mahusiano kuwa Bora zaidi katika familia.

*Zingatia hili...!*

*Ukiona unafikia hatua ya kushindwa hata kuhudumia familia yako vizuri Ni wazi umetoka kwenye kuitwa baba umebaki kuitwa Mwanaume aliyemzalisha Mwanamke, Na hiyo itakuwa njia pekee ya kujitafakari huenda upo mahali pasipokustahili kwa wakati huo...! Fanya maamuzi ya kubadili njia.*

#HappyFathersDay

Share:

Related Posts:

1 comment:

  1. Saaafii sanaa, hongera kwa kuwa baba bora... happy father's day...

    ReplyDelete

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com