
Najua
kuna watu wanapenda kukaa kwenye Maktaba kusoma machapisho, vitabu na
majarida mbalimbali, wakati Tanzania Maktaba ya kisasa inayoendelea
kujengwa kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tukiisubiri ikamilike siyo
vibaya nikikupitisha duniani kutazama Maktaba zenye mvuto zaidi.
1: Maktaba ya Dokk1 – Aarhus, Denmark

2: Maktaba ya Lawrence Public – Marekani

3: Maktaba ya Yangzhou Zhongshuge – China

4: Maktaba ya Beyazit – Uturuki

5: Maktaba ya Vennesla – Norway

6: Maktaba ya Bodø – Norway

7: Maktaba ya Chicago – Marekani

8: Maktaba ya Birmingham – Uingereza

9: Maktaba ya Halifax – Canada

10: Maktaba ya Conarte – Mexico
0 comments:
Post a Comment