Jana kati ya saa 12 na saa 1 jioni
katika kata ya Mnazimmoja na Mingoyo manispaa ya Lindi mvua yenye upepo
mkali imeleta maafa makubwa kwa wakazi wa maeneo hayo baada ya kuezua
mapaa ya nyumba 153.
Tathimini inaendelea mpaka sasa shule ya msingi muungano madarasa 4 na nyumba 1 ya mwalimu zimeezuliwa pamoja na hizo kuna jumla ya nyumba 153 za wakazi zimeharibiwa mvua hizo.
Tathimini inaendelea na taarifa rasmi itakuja.Picha na Abdulazizi Video wa Lindi
0 comments:
Post a Comment