Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji
Mussa Mbaruku aliyevaa shati jeupe wa kwanza kulia akiangalia namna
uchimbaji wa mfereji wa kupitishia maji wakati wa mvua unavyochimbwa
wakati alipofanya ziara ya kuutembelea jana
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji
Mussa Mbaruku aliyevaa shati jeupe wa kwanza kulia akiangalia namna
uchimbaji wa mfereji wa kupitishia maji wakati wa mvua unavyochimbwa
wakati alipofanya ziara ya kuutembelea jana
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji
Mussa Mbaruku wa kwanza kulia akisisitiza jambo kwa mafundi wanaoendelea
na ujenzi wa mfereji wa magaoni kwa ajili ya kupitishia maji ya mvua
ikiwa ni mpango madhubuti wa kukabiliana na adha ya mafuriko nyakati za
mvua
Kazi zikiendelea kama inayoonekana kwenye eneo hilo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji
Mussa Mbaruku wa tatu kutoka kushoto akisisitiza jambo kwa msimamizi wa
mradi huo Ephahim Lucas wakati alipotembelea ujenzi wa mfereji huo ili
kuona kasi yake ya utendaji kama inakidhi viwango.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji
Mussa Mbaruku akitazama namna mafundi wakiendelea na uchimbaji wa
mfereji mkubwa kwa ajili ya kupitisha maji ya mvua ikiwa ni mpango
mkakati wa kuondokana na adha ya mafuriko nyakati za mvua
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitazama ujenzi wa mfereji huo kulia ni msimamizi wa mradi huo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji
Mussa Mbaruku akiingia kwenye mfereji huo kwa ajili ya kuukagua wakati
alipofanya ziara ya kushtukiza mapema jana
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitoka kwenye mfereji huo mara baada ya kuukagua mapema jana
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitoka kwenye mfereji huo mara baada ya kuukagua mapema jana
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji
Mussa Mbaruku kulia akiwa na msimamizi wa mradi huo akikagua baadhi ya
maeneo ili kuona namna unavyojengwa
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji
Mussa Mbarukuakiwa na msimamizi wa mradi huo wakitembelea kwenye mfereji
ambao utatumika kupitisha maji yatakayojaa kwenye makazi ya wananchi
wakati wa mvua
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akiingia kwenye moja ya chemba zilizopo kwenye ujenzi wa mfereji huo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji
Mussa Mbaruku akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa mradi huo
mara baada ya kuutembelea jana kuona namna ujenzi wake unavyoendelea.
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
0 comments:
Post a Comment