METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, March 8, 2017

KONGAMANO LA SIKU YA WANAWAKE LAFANA WILAYANI NACHINGWEA

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Akhibu Muwango akizungumza na wadau waliojitokeza kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake Wilayani humo

Kongamano la maadhimisho ya siku ya wanawake Nachingwea 08/03/2017 katika ukumbi wa Mondrane Mess.

"Hakika ilikuwa ni muda mzuri wa kufahamiana, kubadilishana mawazo, kuelimishana na kuburudika kwa pamoja, Tumezungumza mambo mengi kwa mustakabali wa wananachingwea, Malezi bora, masuala ya afya, kuinua ufaulu wa wanafunzi, mapambano dhidi ya mihadarati, fursa za kiuchumi, kilimo na uwajibikaji kila mmoja kwa nafasi yake hata hivyo Wanaume wametuunga mkono, wao ni sehemu yetu, waume zetu, baba zetu, kaka zetu, jirani zetu, viongozi wetu hivyo sio rahisi kuwatenga." Alisema Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Akhibu Muwango

Pamoja tutashinda na inawezekana
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com