METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, October 11, 2016

UBA BANK WAFANYA BONANZA LA TATU CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


 Baadhi ya wafanyakazi wa UBA Bank wakiwa katika Mazoezi ya viuongo

 Baadhi ya wafanyakazi wa UBA Bank wakiwa katika mbio za pole

 Baadhi ya wafanyakazi wa UBA Bank wakiwa katikamchezo wa kuvuta kamba katika bonanza la robo tatu ya mwaka

 Baadhi ya wafanyakazi wa UBA Bank wakiwa katika mchezo wa mpira wa miguu katika Tamasha lao la robo tatu ya Mwaka chuo kikuu cha Dar es Salaam

 Baadhi ya Wafanyakazi wa UBA Bank wakiwa katika mchezo wa mbio za magunia


Wafanyakazi wa Bank ya UBA wanao zaliwa mwezi october wakikata keki kwa ajili kusheherekea siku yao ya Kuzaliwa.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com