Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe,Mwigulu Nchemba
wakati alipofika kujitambulisha kwa Rais Ikulu Mjini Zanzibar
jana,[Picha na kulu.]04/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe,Mwigulu Nchemba wakati alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar jana,[Picha na kulu.]04/10/2016.
0 comments:
Post a Comment