METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, October 9, 2016

KONGAMANO LA SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO KIKE LIMEFANYIKA MKOANI SHINYANGA

new-picture-29
Washiriki wa Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike wakiwa katika picha ya pamoja jana na baadhi ya watoto wa kike wanaodhaminiwa masomo yao na mashirika yasiyo kuwa ya kiserikali mara baada ya uzinduzi wa kongamano hilo Mjini Shinyanga
new-picture-31
Watoto wanaodhaminiwa na  shirika la Fema mkoani Shinyanga wakitumbuiza katika Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa kike  lilofanyika katika Kijiji cha Kizumbi nje kidogo ya Manispaa ya Shinyanga
new-picture-32
Wafanyakazi wa Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na wadau kutoka mashirika yasiyokuwa ya kiserikali wakiwa katika picha ya pamoja na Wanakijiji cha Kizumbi nje kidogo ya Manispaa ya Shinyanga walioshiriki Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike liliofanyika katika kijiji hicho.
new-picture-33
Wasanii wa ngoma za asili za kisukuma wakitoa burudani katika Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike lilofanyika katika Kijiji cha Kizumbi nje kidogo ya Manispaa ya Shinyanga.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com