METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, October 14, 2016

DC DODOMA MJINI AMUENZI BABA WA TAIFA KWA KUFANYA USAFI

 Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe Christina Mndeme akifanya usafi pembeni yake ni Mzee Lusinde
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe Christina Mndeme, ameadhimisha kumbukizi ya miaka 17 ya kifo cha Mwasisi wa Taifa na Rais wa Kwanza wa Tanzania hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyefariki dunia Octoba 14, 1999 katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas huko Uingereza.
Mndeme amefanya maadhimisho hayo kwa kufanya usafi wilayani mwake na kujumuika na wazee maarufu na viongozi na wananchi wa mji wa Dodo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com