METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, September 12, 2016

DKT SHEIN AONGOZA BARAZA LA IDDI MKANYAGENI PEMBA

pi01
Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,ukiongozwa na Mapikipiki ukiingia katika viwanja vya Skuli mpya ya Mkanyageni akihudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika jana, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.
pi7
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Maalim Haroun Ali Suleiman jana mara alipowasili katika viwanja vya Skuli mpya ya Mkanyageni akihudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
pi8
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisimama katika jukwaa maalum kupokea salamu ya heshma ya kikosi cha Gwaride la FFU Pemba mara alipohudhuria katika  sherehe za Baraza la Eid El Hajj,lililofanyika jana katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.

pi9
Kikosi cha jeshi la Polisi FFU Pemba wakitoa  salamu ya heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, wakati alipohudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika jana katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
pi2
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume wakati wa sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika jana katika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
pi3
Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na wananchi wa Wilaya ya Mkoani  Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika jana katika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
pi04
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Viongozi mbali mbali wakati wa  sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika jana katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.
pi4
Baadhi ya Akina Mama wa Vijiji mbali mbali vya Wilaya ya mkoani Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika jana katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.
pi5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake  kwa Wananchi na Viongozi mbali mbali wakati wa  sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika jana katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.
pi6
Mke wa Rais   wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi wakisikiliza hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein aliyoitoa jana katika  sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
id1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shen (katikati) jana alijumuika na maelfu ya Waislamu mbali mbali na Viongozi katika swala ya Eid el Hajj iliyoswalishwa na Sheikh Ali Adam Makame kutoka shehia ya Ueleni katika Uwanja wa Mkoani BandariniMkoa wa Kusini Pemba,{Picha na Ikulu} 12/09/2016.
id2
Baadhi ya waislamu kutoka shehia za Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika swala ya jamaa ya Eid el Hajj iliyoswaliwa jana katika uwanja wa Mkoani Bandarini Mkoa wa Kusini Pemba,{Picha na Ikulu} 12/09/2016.
id3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shen (kulia) akisalimiana na Watoto baada ya swala ya Eid el Hajj iliyoswalishwa na Sheikh Ali Adam Makame kutoka shehia ya Ueleni katika Uwanja wa Mkoani BandariniMkoa wa Kusini Pemba,{Picha na Ikulu} 12/09/2016.
id4
Wananchi na Waislamu wakisikiliza Hutuba Baada ya Swala ya Eid el Hajj iliyotolewa na Sheikh Ali Adam Makame kutoka shehia ya Ueleni katika Uwanja wa Mkoani Bandarini Mkoa wa Kusini Pemba jana,{Picha na Ikulu} 12/09/2016.
id5
Sheikh Ali Adam Makame kutoka shehia ya Ueleni alipokuwa akitoa Hutuba baada ya Swala ya Eid el Hajj jana mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shen,Viongozi pamoja na Waislamu mbali mbali katika Uwanja wa Mkoani Bandarini Mkoa wa Kusini, Pemba  {Picha na Ikulu} 12/09/2016.
id7
Viongozi na Wananchi   wakisikiliza Hutuba iliyotolewa leo baada ya Swala ya Eid el Hajj   na Sheikh Ali Adam Makame kutoka shehia ya Ueleni katika Uwanja wa Mkoani Bandarini Mkoa wa Kusini Pemba jana,{Picha na Ikulu}12/09/2016.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com