METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, August 18, 2016

IGP AWAAGA ASKARI 14 WA KIKOSI MAALUM CHA POLISI (S.F.U)

MNG1
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akimuuaga PC Prosper Yenda yenda  wa kikosi maalum cha Jeshi la Polisi ( S.F.U)  ambaye ni miongoni mwa askari 14 wanaokwenda nchini Jordan kwa kozi maalum ya kupambana na uhalifu na wahalifu  (Picha na Tamimu Adam- Jeshi la Polisi).
MNG2
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akiwa katika picha ya pamoja na askari 14  wa kikosi maalum cha Jeshi la Polisi (S.F.U)  ambao wanaokwenda nchini Jordan kwa kozi maalum ya kupambana na uhalifu na wahalifu. (Picha na Tamimu Adam- Jeshi la Polisi)
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com