Mbunge wa
Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishutumu Kamati
ya Bunge ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe
wamepokea rushwa.
Alichokiandika
Zitto: “Kutokana na shutuma hizo ameamua kumuandikia spika barua ya
kujiuzulu na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.”
Hii ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge
Naye
Mbunge wa Nzega Mjini, ametoa shutuma kwa Kamati ya Bunge ya Huduma za
Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wamepokea rushwa.
Kutokana
na shtuma hizo, Bashe ameamua kuungana na Zitto Kabwe kumuandikia
spika barua ya kujiuzulu na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.
Hii ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge
0 comments:
Post a Comment