METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, June 8, 2015

Green Waste Pro ltd washindi tuzo ya mazingira


DSC_0048

Meneja wa uendeshaji wa kampuni ya usafi ya Green Waste Pro Ltd, Abdallah Mbena akitoa maelezo ya baadhi ya vifaa (havipo pichani) wanavyotumia katika kusafisha manispaa ya Ilala kwa Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto) wakati wa sherehe za kilele cha maadhimisho ya wiki ya mazingira duniani zilizofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam.

DSC_0203
 Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kulia) kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Said Meck Sadiq akimkabidhi cheti na kikombe kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya usafi ya Green Waste Pro Ltd iliyopewa zabuni ya kusafisha manispaa ya Ilala, Hawa Sindo ambao wameibuka mshindi wa kwanza wa usafi wa mazingira mkoa wa Dar es Salaam katika sherehe za kilele cha wiki ya mazingira duniani zilizofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Grace Mushi kutoka Green Waste Pro ltd.

DSC_0274

 kuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi ambaye alimuwakilisha mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa tuzo za mazingira kwa mkoa wa Dar es Salaam katika sherehe za kilele cha wiki ya mazingira duniani zilizofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com