METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, June 30, 2022

RAIS DKT.HUSSIN MWINYI AONDOKA NCHINI LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Maafisa mbali mbali wakati akiondoka katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akiagana na Mawaziri na Viongozi mbali mbali  wakati akiondoka kuelekea nchini Burundi   kuhudhuria sherehe za maiaka 60 ya nchi hiyo  akimuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu Hassan  .[Picha na Ikulu].Tr 30 juni 2022.  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamo wa Pili wa  Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akiondoka kuelekea nchini Burundi kuhudhuria sherehe za maiaka 60 ya nchi hiyo  akimuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu Hassan  .[Picha na Ikulu].Tr 30 juni 2022. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiteta na Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,  akiondoka kuelekea nchini Burundi kuhudhuria sherehe za miaka 60 ya nchi hiyo akimuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu Hassan,(kulia) Makamo wa Pili wa  Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman.[Picha na Ikulu].Tr 30 juni 2022.

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com