METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, April 12, 2022

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA EQUITY DKT.JAMES MWANGI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dkt. James Mwangi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dkt. James Mwangi aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam 

   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dkt. James Mwangi mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2022.

Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com