METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, April 29, 2022

DKT.MPANGO ATOA HESHIMA ZA MWISHO WAKATI WA KUAGA MWILI WA HAYATI MWAI KIBAKI

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya ,Hayati Mwai Kibaki wakati wa Ibada ya kuaga mwili huo iliofanyika katika Uwanja wa Nyayo Nairobi nchini Kenya leo tarehe 29 Aprili 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimfariji Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta mara baada ya kutoa heshima za mwisho  wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya ,Hayati Mwai Kibaki. Tarehe 29 Aprili 2022.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com