Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 5 Februari 2022 akishiriki Ufunguzi wa Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) unaofanyika Addis Ababa, Ethiopia. Mkutano huo umebeba kauli mbiu isemayo “Kuimarisha Lishe na Usalama wa Chakula barani Afrika: Kuongeza kasi ya Uzalishaji katika Kilimo,Maendeleo ya Rasilimali Watu na Maendeleo Endelevu ya Kiuchumi na Kijamii” .
Saturday, February 5, 2022
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Leo, Novemba 30, 2024, Arusha ilikua jiji lenye hafla muhimu kwa wakulima wa Mkoa wa Arusha na maeneo mengine ya Tanzania. Ambapo mkutano mk...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula ameagana na Balozi wa Kenya hapa nchini Mhe. Dany Kazung...
-
Na Stella Kalinga, Simiyu Katibu MTENDAJI wa Baraza la Taifa la Mitihani nchini (NECTA) amewataka wanafunzi wa kidato cha sita...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment