Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo leo tarehe 21 Januari 2022 amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Komredi Li Mingxiang , kwa njia ya mtandao. Mazungumzo hayo yalihusu uhusiano wa kihistoria baina ya vyama hivyo. (Picha na CCM Makao Makuu)
Friday, January 21, 2022
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (kushoto) akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akin...
-
Na Mathias Canal Kwa mujibu wa kalenda ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania leo ni siku ya Bwana ya Sita kabla ya Pasaka na uk...
-
Mkuu wa Usalama barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamanda Marison Mwakyoma akiongea na washiriki katika semeina ya kujadili sheri...
-
Katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kupitia watoa huduma wake toka maeneo mbalimbali wamewaf...
Powered by Blogger.


0 comments:
Post a Comment