Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua akifungua Mkutano Mkuu wa Tano wa Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 2021, uliojadili hali ya Jeshi pamoja na Taifa kwa ujumla ili kuweza kutekeleza majukumu yao kwa upeo wa pamoja katika Jeshi hilo. mkutano huo ulifanyika jana katika Kambi ya JWTZ 302 KV Lugalo Jijini Dar es Salaam.
Tuesday, November 16, 2021
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Na Mathias Canal Kwa mujibu wa kalenda ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania leo ni siku ya Bwana ya Sita kabla ya Pasaka na uk...
-
Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Afya- Idara Kuu ya maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Pruden...
-
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Cha Kawai...
Powered by Blogger.





0 comments:
Post a Comment