Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akifurahia jambo wakati akizungumza katika mkutano wa wanachama wa shina namba 1 katika kijiji cha mwambise kata ya Fubu, leo 12, julai 2021.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akizungumza katika mkutano wa wanachama wa shina namba 1 katika kijiji cha mwambise kata ya Fubu, leo 12, julai 2021.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akitoa Vitendea kazi kwa Balozi wa shina namba 1 katika kijiji cha mwambise kata ya Fubu Ndg Seth S Mwambandile, leo 12, julai 2021.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akikagua kikundi cha ngoma alipowasili katika ukaguzi wa utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 wa ujenzi wa Zahanati ya kijiji cha mwambise kata ya Fubu, leo 12, julai 2021.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM katika ukaguzi wa utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 waujenzi wa Zahanati ya kijiji cha mwambise kata ya Fubu, leo 12, julai 2021.
0 comments:
Post a Comment