METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, April 13, 2021

SHIRIKA LISILO LAKISERIKALI REDESO LAFANYIWA MAFUNZO JUU YA UKATILI WAKIJINSIA NA KINGONO MAOFISINI

Mwezeshaji ndugu Joseph Msami akiseminisha  wafanyakazi wa shirika la redeso katika kipengele cha ulinzi  dhidi ya ukatili wa kijinsia.Ndugu Paul Mng’ong’o mwezeshaji kutoka shirika  la  WE WORK akitoa mafunzo  kwa wafanyakazi wa  shirika la REDESO  kuhusu kanuni za maadili sehemu  za kazi

Ndugu Rose Reuben akitoa mafunzo mbalimbali kwa wafanyakazi wa Shirika Lisilo la Kiserikali REDESO  juu  ulinzi na ukatili wa kijinsia na wakingono  kwenye maofisi.

Baadhi ya wafanyakazi  wa Shirika lisilo la Kiserikali REDESO wakifwatilia kwa makini semina inayoendeshwa juu ukatili wa kijinsia na KiNGONO.Wafanyakazi wa shirika lisilo lakiserikari REDESO wakifwatilia kwa makini mafunzo yanayoendeshwa  kuhusu ukatili wa kijinsia na wakingono.

Share:

2 comments:

  1. Ukatiki wa kijinsia na mmomonyoko wa maafiki sehemu za kazi na jamii kwaujumla ni tatizo sugu. Nalipongeza shitika la REDESO kwa kuandaa semina hii muhimu.

    ReplyDelete
  2. Well done relief to development society (redeso)

    ReplyDelete

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com