METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, April 7, 2021

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Zanzibar




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 06 Aprili 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 06 Aprili 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuwasili Zanzibar leo tarehe 06 Aprili 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuwasili Zanzibar leo tarehe 06 Aprili 2021.  PICHA NA IKULU.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com