METDO Tanzania

METDO Tanzania

Saturday, March 20, 2021

RAIS SAMIA AONGOZA VIONGOZI NA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM KUAGA MWILI WA HAYATI MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza Jambo na Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemedi Suleiman katika Ghafla ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam. leo March 20,2021.

Familia ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli   

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam kuaga Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam leo March 20,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com