Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Meneja mradi Mhandisi Felister Lyimo kuhusu mradi wa maji wa Isaka-Kagongwa kabla ya kuzindua mradi huo wa maji mkoani Shinyanga.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgAkhCq9e_AH54cy_HHzKYf_r5e11wUV_P5eFw2dCJg22ekbhR5M9ih3n_xcu9Wfw2q7BrdYHx8fM5YbFUUv0DW0_shRyh4zUIb1trRh85M-Vq9942iLRDQ74Zmm1qJ4KqnsyRFTZkJqqj-/s16000/3+%25282%2529.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi
wengine mara baada ya kuzindua upanuzi wa Mtandao wa maji kutoka ziwa Victoria
kwenda katika mji mdogo wa Kagongwa na Isaka Kahama mkoani Shinyanga leo tarehe
29 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungulia maji kama ishara ya
uzinduzi wa mradi wa maji kutoka ziwa Victoria kwenda katika mji mdogo wa
Kagongwa na Isaka leo tarehe 29 Januari 2021 katika eneo la Kagongwa, Kahama
mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishika maji mara baada ya kuzindua mradi huo wa maji kutoka ziwa Victoria kwenda katika mji mdogo wa Kagongwa na Isaka leo tarehe 29 Januari 2021 katika eneo la Kagongwa, Kahama mkoani Shinyanga.
0 comments:
Post a Comment