METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, January 25, 2021

RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA JAMHUIRI YA ETHIOPIA MHE SAHLE-WORK ZEWDE ALIYEWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege waGeita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha kwa viongozi mbalimbali mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Ndege iliyomchukua Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde ikwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021

Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde akitelemka katika ndege mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com