METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, August 16, 2020

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU YA DOMINIKA YA 20 YA MWAKA A KATIKA KANISA KATOLIKI CHAMWINO LEO

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Baba Paroko Paul Mapalala wakisali katika Grotto ya Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akishiriki katika Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A  katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020
Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli akishirikiana na waumini wenzake 
kutoa sadaka wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A  katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020
Mhe.Rais Dkt.JohnPombe Magufuli akipokea Sakramenti Takatifu 
kutoka kwa Baba Paroko Paul Mapalala wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A  katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akishiriki katika Ibada ya Misa 
Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A  katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com