Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini,
Waakilishi wa Mashirika ya kimataifa katika Sherehe za Mwaka mpya
2020 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika
Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa
nchini kabla ya chakula cha jioni alichowaandalia Mabalozi hao katika
Sherehe za Mwaka mpya 2020 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry
Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment