Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha George Simbachawene kuwa Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Mussa Azzan Zungu kuwa Waziri wa Nchi ,
Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira katika
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
George Simbachawene akizungumza jambo na Waziri wa
Nchi , Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira
Mussa Azzan Zungu kabla ya kuapishwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Maimuna Tarishi kuwa Balozi wa kudumu
wa Tanzania umoja wa Mataifa Geneva
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Profesa Kennedy Gastorn kuwa Balozi wa
kudumu wa Tanzania, Umoja wa Mataifa New York katika
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Viongozi waliopishwa wakila kiapo cha
Uadilifu kwa vioungozi wa Umma Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi
mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU.
0 comments:
Post a Comment