Katibu
Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome akizungumza
na wafanyakazi wa wizara hiyo kabla ya kuanza zoezi la upandaji miti
katika eneo la Ofisi za wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba
jijini Dodoma leo. Zoezi hilo ni jitihada za Wizara hiyo katika kuunga
mkono kampeni ya Makamu wa Rais ya kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani.Mkurugenzi
wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara ya Katiba na
Sheria, Bw.Deogratias Yinza akitoa maelekezo kwa wafanyakazi wa wizara
hiyo kabla ya kuanza zoezi la upandaji miti katika eneo la Ofisi za
wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Zoezi
hilo ni jitihada za Wizara hiyo katika kuunga mkono kampeni ya Makamu wa
Rais ya kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani.Katibu
Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome (kulia) na
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Amon Mpanju
wakipanda mti wakati wa zoezi la upandaji miti katika eneo la Ofisi za
wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Zoezi
hilo ni jitihada za Wizara hiyo katika kuunga mkono kampeni ya Makamu wa
Rais ya kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani.Katibu
Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome (kulia) na
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Amon Mpanju
wakimwagilia maji mti walioupanda wakati wa zoezi la upandaji miti
katika eneo la Ofisi za wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba
jijini Dodoma leo. Zoezi hilo ni jitihada za Wizara hiyo katika kuunga
mkono kampeni ya Makamu wa Rais ya kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani.Katibu
Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome (kushoto)
akisaidiwa na mmoja wa wafanyakazi wa Wizara hiyo Bw. Novatus Igosha
wakati wa zoezi la upandaji miti katika eneo la Ofisi za wizara hiyo
zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Zoezi hilo ni
jitihada za Wizara hiyo katika kuunga mkono kampeni ya Makamu wa Rais ya
kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani.Mkurugenzi
wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara ya Katiba na
Sheria, Bw.Deogratias Yinza (kushoto) akishiriki katika zoezi la
upandaji miti katika eneo la Ofisi za wizara hiyo zilizopo Mji wa
Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Zoezi hilo ni jitihada za Wizara hiyo
katika kuunga mkono kampeni ya Makamu wa Rais ya kuifanya Dodoma
inakuwa ya kijani.Katibu
Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome (kulia)
akitoa maelekezo kwa wafanyakaziwakati wa zoezi la upandaji miti katika
eneo la Ofisi za wizara hiyo zilizopo Mji wa Serikali Mtumba jijini
Dodoma leo. Zoezi hilo ni jitihada za Wizara hiyo katika kuunga mkono
kampeni ya Makamu wa Rais ya kuifanya Dodoma inakuwa ya kijani.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katikazoezi la
upandaji miti katika eneo la Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mji wa
Serikali Mtumba jijini Dodoma leo. Zoezi hilo ni jitihada za Wizara hiyo
katika kuunga mkono kampeni ya Makamu wa Rais ya kuifanya Dodoma
inakuwa ya kijani. (Picha na Frank Shija – MAELEZO, Dodoma)
0 comments:
Post a Comment