METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, May 28, 2019

NAIBU SPIKA AICHANGIA YANGA

Naibu Spika Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson akikabidhi fedha kiasi cha Shilingi milioni moja kwa Wabunge mashabiki wa Timu ya Soka ya Yanga iliyopokelewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mheshimiwa Anthony Mavunde, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma. Fedha hizo ni kwa ajili ya kuichangia Timu ya Yanga.
Naibu Spika Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi fedha kiasi cha Shilingi milioni moja kwa Wabunge mashabiki wa Timu ya Soka ya Yanga kwa ajili ya kuichangia timu hiyo, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma .
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com