Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Joseph Kakunda na Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe, Omary Mgumba leo wameanza ziara ya siku tatu ya kiserikali katika Mkoa wa Morogoro 08, Januari 2019 asubuhi kabla kuanza ratiba ya ziara waliripoti ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambapo walifanya mazungumzo na Katibu wa CCM Mkoa huo Shaka Hamdu Shaka juu ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika maeneo ya Viwanda, Biashara na uwekezaji katika Mkoa huo.
Tuesday, January 8, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro (kulia) akizungumza na wananchi wakati wa utatuzi wa mgogoro wa Ardhi baina ya kata mbili za Dung'un...
-
Wahitimu wa kidato cha nne shule ya kiislamu ya sekondari Kakangaga wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa mahafali ya 9, kabla ya kuingia...
-
Na. Meleka Kulwa- Dodoma. Katika hatua inayotajwa kuwa mwanga mpya kwa vijana wanaokabiliwa na changamoto za afya ya akili, Chuo K...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment