METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, November 1, 2017

M/KITI CCM SHINYANGA MJINI AHITIMISHA ZIARA YA MAFUNZO KWA MABALOZI

Na Egonano Hussein

M/kiti wa CCM wilaya ya Shinyanga mjini , haitimisha Ziara ya mafunzo kwa mabalozi wa Chama cha matpinduzi ya Siku tatu, ziara hiyo Imezaa matunda Makubwa kwa Mabalozi hawo, nakumpongeza M/kiti ndugu Abubakari mukadamu kwa kuanza vizuri Kuitumikia nafasi hiyo ya uongozi, pia mabalozi wamewapongeza watoe Semina wote kwa Jinsi walivyojipambanua katika uwasilishaji wa Mada walizopangiwa.

M/kiti aliwahasa wajumbe kuendelea kutoa ushilikiano wa Dhati kutoka kwa viongozi wa matawi , kata  na wilaya na kuwataka kuwajibu kumuunga mkono Mh.Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania na m/kiti wa chama cha mapinduzi Taifa.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com