Mkuu wa Wilaya ya Chato,Shaaban Ntarembe akiwatambulisha wageni mbali mbali ambao wameuzulia kwenye hafla hiyo Wilayani Humo. |
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Mhandisi Patrick Mfugale akisoma taarifa ya utekelezaji wa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Mkoa wa Geita. |
Mbunge wa Jimbo la Bukombe,Doto Mashaka Biteko akitoa salaamu za Jimbo lake kwa Mgeni rasmi na wananchi ambao walikuwa wamekusanyika kwenye viwanja hivyo. |
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akipanda mti kwenye viwanja vya ndege Wilaya ya Chato Mkoa wa Geita. |
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ambaye ni Mbunge wa Chato,akitoka kusalimiana na wananchi wa jimbo lake. |
0 comments:
Post a Comment