Spika wa Bunge Mheshimiwa Job
Ndugai akifurahi jambo wakati akimsikiliza Spika wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar Mheshimiwa Zuberi Ali Maulid alipomtembelea ofisini
kwake, Bungeni Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job
Ndugai (wa kwanza kulia) akifurahi katika picha ya pamoja na Spika wa
Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mheshimiwa Zuberi Ali Maulid
alipomtembelea ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma na Mheshimiwa
Jenista Mhagama Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,
Vijana, Ajira, na Watu wenye Ulemavu .
0 comments:
Post a Comment